Nifanyaje ili arudishe imani kwangu?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Habari zenu wakubwa!ebana,nina galfrd wangu wa muda kidogo,ilitokea 2kaznguana thn 2kasameheana bt since then,she real dnt trust me kabisa.mnaweza kunshauri nin cha kufanya kurudisha imani yake kwangu?over
 
We nae una wangap? Kila siku ooh demu wangu kafanya hv, mara vile..unaonekana Unaleta stori za kujitungia Jf uwe maarufu ama vingnevyo HUJATULIA angalia ukimwi Upo!
 
We nae una wangap? Kila siku ooh demu wangu kafanya hv, mara vile..unaonekana Unaleta stori za kujitungia Jf uwe maarufu ama vingnevyo HUJATULIA angalia ukimwi Upo!

huyo huyo mmoja ndo twasumbuana nae?
 
Wewe kijana kata book,achana na madem utaharibu GPA
 
Mwachie mungu ama fika ofisini kwangu mbagala chanika nitakupa dawa ya kumvuta mpenz wako awe kama zamani au akupende zaidi
 
Habari zenu wakubwa!ebana,nina galfrd wangu wa muda kidogo,ilitokea 2kaznguana thn 2kasameheana bt since then,she real dnt trust me kabisa.mnaweza kunshauri nin cha kufanya kurudisha imani yake kwangu?over

Tatizo kwenu Mbagala, labda msafishe kwanza lile jalala
 
Habari zenu wakubwa!ebana,nina galfrd wangu wa muda kidogo,ilitokea 2kaznguana thn 2kasameheana bt since then,she real dnt trust me kabisa.mnaweza kunshauri nin cha kufanya kurudisha imani yake kwangu?over

Mchuchu wako kimeo ebu asikushughulishe,kama hakufai tafuta mwengine.....
 
Ongea nae huyo manzi wako! Mueleze ni jinsi gani unavyompenda na hutaki kumkosa maishani mwako! Na hilo kosa lililofanya mkosane hutolirudia tena! Toka hapo inabidi ubadilike moja kwa moja.
 
piga chini. bomu hilo

Huyu kijana sidhani kama anasoma i suspect anafanya love affairz kama issue zilizompeleka chuo...sidhani kama demu wake KIMEO ila anazusha thread awe maarufu JF na probably ana ID nyingne kuchangia topic zake...ebu Ukue bwana Senetor Vijana kama nyie adolsence inawasumbua sana
 
you still have a long way to go!ushauri wangu wont worth it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…