Nifanyaje ili Flash yenye ukubwa wa 64 GB iweze kusoma kwenye Flat TV tena (Hisense Smart TV)?

Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV!! Na je nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
Hii kwangu mpya inasoma kwenye tv!ngoja waje.
 
format-usb-ntfs-4.png

format-ntfs.gif

Select NTFS, Tick quick format, kisha start. Kumbuka kama kuna vitu humo kwenye flash vitafutika vyote ukisha format. so back up kwanza.
 
Flash yenye 64GB mara nyingi inakuwa tayar kwenye mfumo wa EXFAT au NTFS.

32GB kushuka chini ndo unakuwa na mfumo wa FAT32 ambao ndo suitable kwa kusoma kwenye TV na hata deki. Tumia program ya kubadili mfumo kwa ku format to 32GB.Tumia EASY PARTITION MASTER.

So utachek kama tv yako haisomi ntfs badili kwenda fat32 and viceverse.
 
Asante sana, kwa maana iyo hata Flash yenye 128 GB inakubali nikifuata protocol za namna hii?
 
Flash yenye 64GB mara nyingi inakuwa tayar kwenye mfumo wa EXFAT au NTFS.

32GB kushuka chini ndo unakuwa na mfumo wa FAT32 ambao ndo suitable kwa kusoma kwenye TV na hata deki. Tumia program ya kubadili mfumo kwa ku format to 32GB.Tumia EASY PARTITION MASTER.

So utachek kama tv yako haisomi ntfs badili kwenda fat32 and viceverse.
Upo sawa mkuu
 
Back
Top Bottom