Pole sana ila yahitaji moyo kwanza kitendo chakuwa kwenye uchumba miaka 7 ni tosha kuwa nia yakuoa ilishapotea!kilichoshindikana nikukwambia sikupendi labda kwakuzingatia kipindi chote ulichomvumilia inamuwia kazi kutamka neno nimekuchoka!!ila kaa na mwenziyo muongee mwambie huu nimwaka wa 7 hata ramani haionekani je huoni kama unitendei haki??kwani umenichumbia inamaana umeziba matundu yote hakuna mwingine wakuja kunichumbia na wewe unasema ujajipanga wewe unadhani ni lini utajipanga then umsikilizie atakupa jibu gani!!:yawn:habarini. nina mchumba wa mda mrefu zaidi ya miaka saba ,wazazi wangu wanapenda wajukuu, na mimi nimezaliwa mwenyewe, na ndio ninatakiwa niwaletee wazazi wangu mjukuu nifanyeje? wakati mchumba wangu nikimwambia tuzae anasema mpaka tujipange? nifanyaje na mimi nataka mtoto na wazazi wamezeeka nao wanawish kuwa na mjukuu . msaada wa mawazo wakuu nifanyaje ili huyu mwanaume anielewe na sitaki kuzaa na mtu mwingine?:yawn:
habarini. nina mchumba wa mda mrefu zaidi ya miaka saba ,wazazi wangu wanapenda wajukuu, na mimi nimezaliwa mwenyewe, na ndio ninatakiwa niwaletee wazazi wangu mjukuu nifanyeje? wakati mchumba wangu nikimwambia tuzae anasema mpaka tujipange? nifanyaje na mimi nataka mtoto na wazazi wamezeeka nao wanawish kuwa na mjukuu . msaada wa mawazo wakuu nifanyaje ili huyu mwanaume anielewe na sitaki kuzaa na mtu mwingine?:yawn:
tatizo ni kwamba nikisema nizae kwa kujilazimisha atamind,
mtazaeje kwenye uchumba hata hao wazazi wako wanafikilia kweli, FUNGENI NDOA NDO MZAE BWANA. AAAAH DINI GANI ANARUHUSU HAYO?tatizo ni kwamba nikisema nizae kwa kujilazimisha atamind,
Mdada,miaka 7 uchumba jaman?c mmeshachokana?,mmh!,yani hapo nyie ni wanandoa tosha kabisa,maana naamini,mnapractice kindoa ndoa,ndiyo maana umepata hamu ya kuzaa mapema,well cha kukusaidia,jitegee siku ambazo sizo,pata,au laa,mwambie akuoe,uchumba wa muda mrefu namna hiyo haudumu..na ukute miaka saba yote hiyo unamuhudumia vizuri kama mmeo.Pole,kaa nae mpange vizuri..