Nifanyaje! ili huyu mwanaume anielewe?

Hivi Mchumba ndio Fiancee!? kama jibu ni ndio basi kazi ipo. tafuta upya tafsiri ya neno mchumba, may be try to use neno hawara.
 

mm nataka mtoto. Nitafute!
 

Hoja ya wazazi wako juu ya wewe kuzaa ni ya muhimu wanataka kufahamu kama kweli wewe unao uwezo wa kuzaa au wewe ni mgumba wasiwasi wao ni kuwa pindi watakapotoweka hapa duniani watakuacha na nani? Au uzao wao utakuwepo
 


Mpwa, kusoma hujui, hata picha ukutani unashindwa kuziona?! Mambo mengine mbona simple tu!!!!! Jamaa hataki kuzaa na wewe kwavile hataki kuwa na wewe maishani! anajua mkishazaa, tayari atakuwa ameshajifunga....kukaa miaka saba ktk uchumba ni dalili tosha kuwa yupo in transit! Hapo ukija kumuona anatangaza ndoa basi fahamu amekosa yule aliyekuwa anamtarajia na hivyo anaamua tu "hivyo hivyo, ndo afanyeje!" Ni ngumu kumeza, lakini huo ndo ukweli wenyewe...kama vp shushia hata na Mountain Dew kisha jaribu kutafakari!

"Akili za Mbayumbayu, changanya na zako" BY Jakaya Mrisho Kikwete!
 
Punguza uoga mangi wazazi wako wangejipanga hivyo labda saa hii usingekuwa hapa jukwaani

mi sio mangi kaka ila kujiandaa kunafanya hata mtoto anakua mtamu kwenye familia.
 
Jamaa yako kashaenda kupima akagunduliwa hana uwezo wa kum-pregnant m/ke ndio maana analeta vikwazo huyo!! Kwa uhakika we jaribu kutegesha siku za hatari uone kama utapata mimba,haiwezekani ndani ya miaka saba ya uchumba yani hata kajimimba hakuna?

hapa lazima kuna tatizo,tena kubwa. Miaka saba? Hata condom walishaacha kutumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…