Nifanyaje ili nilipe deni la taifa?

Nifanyaje ili nilipe deni la taifa?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wote tumesikia kila mtu anadaiwa milioni kwenye deni la taifa.
Wajuzi wa mambo nilikuwa nataka kujua kama kuna utaratibu wowote kwa mtu binafsi anayetaka kulipa portion yake ya deni la taifa ,yaani kama nina milioni ni wapi natakiwa kuanzia maana sio kila mtu amezoea kudaiwa,
Muongozo tafadhali
 
Hahahaha ukifanikwa uje utupe mrejesho
 
Nalipa deni mimi ndio nimekopa mbona sizindikizwi na ving'ora zaidi ya marungu na wakubwa kutumbua mapesa
 
😀😀😀😀😀Mkuu wewe ni kwere....unalipa kwani ulikopa wewe?...kama unataka kulipa usiwe na wasi wasi, wanakata kwenye kodi na mafao.
 
Back
Top Bottom