MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hahahaha ukifanikwa uje utupe mrejeshoWote tumesikia kila mtu anadaiwa milioni kwenye deni la taifa.
Wajuzi wa mambo nilikuwa nataka kujua kama kuna utaratibu wowote kwa mtu binafsi anayetaka kulipa portion yake ya deni la taifa ,yaani kama nina milioni ni wapi natakiwa kuanzia maana sio kila mtu amezoea kudaiwa,
Muongozo tafadhali