Nifanyaje ili nisiyapate haya matangazo?

Bwana kaduga

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
863
Reaction score
1,812
Habari zenu waungwana?

Naomba mnisaidie jinsi ya kuyaepuka haya matangazo maana nimekua nikikosa raha kabisa niwapo online.
Yamekuwa yakijitokeza kila baada ya sekunde 3, 2, 1 yaani yamechelewa sana ni sekunde 5,10-30.
Baadhi ya matangazo hayo no haya hapa.

Na mengine mengi ambayo siwezi kuyaweka yote hapa, kiukweli yananikosesha raha.

Jamiiforum Great Thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…