Nifanyaje ili niweze kuwa na sauti nyepesi?

nunu_tz

New Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Jamani mi ni msichana lakini sauti yangu ni nzito saana kiasa kwamba hata nikiongea na simu mtu anaweza akafikiri kapokea mkaka naombeni mnisaidie nifanyaje niweze kulainisha sauti yangu.
 
Muulize Halima Mdee juz mjengoni alikuwa fresh
 
Hilo Tatizo Lina muda gani? Tangu usichana wako au limekuja ukubwani? Sababu zipo nyingi Unaweza kuwa na matatizo ya homoni au kwa kidhungu wanasema hormonal dysfunction, kama Umepata tatizo hilo ukiwa na umri zaidi ya miaka 30+ inaweza kuwa menopause imeanza! Au hypothyroidism kwa uchunguzi zaidi nenda hospital, happy Valentine's Day.
 
Kula mayai mabichi itakusaidia kulainisha koo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…