sasa mkuu hiyoo picha ungepiga vizuri sasa miguu ndo inaonekana badala ya kidevu.
anyway tumia mashine ya kunyolea hivi vi vintage vyakucharge vinauzwa 15,000-20,000 ukishanyoa tumia shaving lotion skala au boss. vinauzwa 1000, achana na spirit itakuzeesha.