Nifanyaje kuachana na Usingizi kabisa?

Kazi ndogo tu hiyo kwani kinacho sinzia si ni macho basi fanya hv shika kope benjua kwa juu tia super glue kwishineh...
au kama hiyo itakuzngua zishone tu
 
Tumia pilipili na limao kwa kuweka kwa macho kila upatapo usingizi,dozi kutwa mara tatu.
 
Tumia pilipili na limao kwa kuweka kwa macho kila upatapo usingizi,dozi kutwa mara tatu.
Teh teh ! umeamua kukata mzizi wa fitina sidhani kama kuna dawa tena zaidi ya hii
Au huyu jamaa hana stress za maisha maana hiyo ni njia nyingine ya kutopata usingizi
 
Ngoja waje Wataalamu wa afya wakupe faida na hasara ya Usingizi, Mkuu MziziMkavu hebu msaidie huyu jamaa.
 
Asante sana mkuu
 
Asante sana mkuu

Shukrani mkuu, tuko pamoja. Hilo tatizo linasumbua watu wengi. Unaona kama unatakiwa kufanya kila kitu na vyote ni vya muhimu, ki uhalisia hauwezi kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja. Ni jambo la vipaumbele na kuamua eneo gani uwekeze muda wako, eneo lingine unawaachia wengine.

Hauwezi ukawa Daktari Bingwa, mtaalam wa Komputa, mhandisi bingwa wa barabara, Rubani, Mtaalamu wa uchumi..mwisho wake ndio hapo utatamani usilale kabisa.

Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…