nifanyaje mwanangu amebabuka

nifanyaje mwanangu amebabuka

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
778
Reaction score
269
wapendwa naomba mnisaidie mwanangu amebabuka ngozi upande mmoja kuanzia kwenye shavu kuelekea mdomo ulipo yani ana rangi mbili wengine wanasema mtu akiwa hivyo ana upungufu wa kitu fulani au ana minyoo sa nashindwa kuelewa kwa kweli dawa ya minyoo nimempa na bado tatizo halijaisha naombeni msaada wa hili
 
Ever umekwisha mpeleka kwa DR kwanza, na kama ndio Dr anasema ni nini?
 
Mpake asali mbichi sehemu iliyoathirika.
 
Back
Top Bottom