Nifanyaje niache kujichua?

Fanya toba ya kweli na ufanye majuto ya kutokurudia tena na kila wazo likija tu kumbuka ahadi yako na muumba wako.......
 
Anza hata kwa kununua basi pale Jolly ili uexperience utofauti
 
Kama unawasiwasi na njia ya kujichua kwa mkono,tumia ile njia yetu ya PAPAI la MOTO haina madhara kabisa
 
Alafu unatarajia tanzania iifikie marekani!!! dawa yako ngoja donald trump aichukue nchi
 
fanya toba kwa Mungu pia muombe akutie nguvu iliuweze kushindana na hayo mawazo ya kujichua

chukua kalenda jiwekee malengo kwamba kutoka leo tarX mpaka tarX hapo katikati uweunafanya kila namana kuepukana na kitendo hicho

mf;unatenga siku arubaini kutokea leo hivyo ukimaliza siku moja bila kujichua pale kwenye kalenda unaikata

katika siku hizo zote jaribu kufanya mazoezi ya viungo jichanganye na watu soma vitabu vya dini magazeti nk ilimradi tu visiwe vinachochea ngono

tumia muda mfupi uwapo bafuni badala yake tumia muda mrefuu hapa JF achana na facebook whatsapp badoo nk
ZINGATIA HILO LA KALENDA

yote kwa yote dhamira yako ndio itakayo kubadilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…