Nnashauri, ukifika ktk kituo ulichopangiwa, angalia fursa binafsi unazoweza kufanya, appointed works katika shule zinamagumashi Sana, zaidi ukiwa Kama mwalimu una utajiri mkubwa Sana wa muda, tumia muda wako vizuri kujinufaisha kimaisha.
usitegemee appointed work pliz.