Nifanyaje ninapokuwa na majina tofuati kwenye NIDA na Cheti cha Kuzaliwa

Midnights

Member
Joined
Mar 5, 2024
Posts
20
Reaction score
34
Habari waungwana.

Nimekuja hapa nikiwa na swali moja

Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI

Ila
Kwenye NIDA CHAI CHAPATI MBILI.
Cheti cha kuzaliwa CHAI CHAPATI MBILI.

Je inaweza kuwa na changamoto kwenye mifumo ya kiserikali pamoja na ajira?.

Endapo inaweza kuwa ni changamoto nini kifanyike.

Asante.
 
Ndio.

  1. Unaweza kutumia majina yote mawili kwa kutumia kiapo kuonyesha kwamba yote ni yako na upo tayari kuyatumia​
  2. Unaweza kukana moja na kubaki na moja kwa kutumia deed poll.​
 
👆👆 Mkuu nikusahihishe kidogo we umeanza sekondari mkuu hujaanzia primary au
 
Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI

[emoji115][emoji115] Mkuu nikusahihishe kidogo we umeanza sekondari mkuu hujaanzia primary au
Cha la saba sina...

Sijui ilikuwaje ikawa sina ila sina
 
Ndio.

  1. Unaweza kutumia majina yote mawili kwa kutumia kiapo kuonyesha kwamba yote ni yako na upo tayari kuyatumia​
  2. Unaweza kukana moja na kubaki na moja kwa kutumia deed poll.​
Mtoa mada, hili ndilo jibu Sahihi
 
Habari waungwana.

Nimekuja hapa nikiwa na swali moja

Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI

Ila
Kwenye NIDA CHAI CHAPATI MBILI.
Cheti cha kuzaliwa CHAI CHAPATI MBILI.

Je inaweza kuwa na changamoto kwenye mifumo ya kiserikali pamoja na ajira?.

Endapo inaweza kuwa ni changamoto nini kifanyike.

Asante.
Hamna shida hapo.
 
Shida ipo tena kubwa Sana mbeleni
1. Nenda mahakami wakupe Deadpool form 3. Utalipia 15,000-25,000.
2.Utaenda wizara ya Ardhi Kwa Dar ni kivukoni utajaza form, utaambatanisha passports size 3. Unapewa control number utalipia 32,000. Unasubiria siku 14 za KAZI.
3. Utachukua Deadpool zako utaenda nazo Kwa msajili Wa magazeti ya serikali Kwa Dar ni mpingo house jirani na mataa ya changombe utalipia 35,000. Unasubiria wachapishe kwenye gazeti. Baada ya hapo watakupa Tangazo cha gazeti husika.
4. Utarudi NIDA utajaza form ya awali Ile, unasubiria tena siku 7.
5. Utarudi NIDA kujaza form namba 13, utalipia elf ishirini. Hapo Napo unasubiria week mbili ndo utapata Namba ya NIDA iliyorekebishwa taarifa zako. Kuhusu kupata ID nyingine iliyo na mabadiliko hayo sijui ni MDA gani? Unaweza kuwa zaidi ya miezi sita au Miaka.

NB: MDA niliotaja Wa kusubiria unaweza ukaongezeka kutegemeana na Idadi ya waombaji na mambo Yao mengineyo.

Karibu TANZANIA.
 
LAki?
 
Wewe jamaa ni muongo sana, hayo majina hayana shida yapo sawa ukumbuke kilichofafanuliwa kwenye Nida ni hiyo initial "C" ndo imeandikwa kwa kirefu.
 
Habari waungwana.

Nimekuja hapa nikiwa na swali moja

Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI

Ila
Kwenye NIDA CHAI CHAPATI MBILI.
Cheti cha kuzaliwa CHAI CHAPATI MBILI.

Je inaweza kuwa na changamoto kwenye mifumo ya kiserikali pamoja na ajira?.

Endapo inaweza kuwa ni changamoto nini kifanyike.

Asante.
Hakuna shida yapo sawa
 
Wewe jamaa ni muongo sana, hayo majina hayana shida yapo sawa ukumbuke kilichofafanuliwa kwenye Nida ni hiyo initial "C" ndo imeandikwa kwa kirefuu
Wewe jamaa ni muongo sana, hayo majina hayana shida yapo sawa ukumbuke kilichofafanuliwa kwenye Nida ni hiyo initial "C" ndo imeandikwa kwa kirefu.
Hujui unachokiongea! Kiufupi huo mlolongo ni kama unataka kubadili taarifa zako NIDA ambazo zinapishana na cheti cha kuzàliwa. Ila kama Ni vyeti vya taaruma Tu Haina mambo mengi, kiapo cha mahakami au Mwanasheria kinatosha ambapo watakupa kiapo Kwa gharama ya 10,000- 30,000. Itategemeana na mahali ulipo na huyo mtoa huduma ya kisheria.
 
Back
Top Bottom