msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Heshima kwenu wakuu,
Aisee hii hali mbaya ya kiuchumi imenifanya nifungue kaduka kangu mtaani, sasa TIN nimeshapata nilikuwa na leseni nikaenda TRA wakanibadilishia ikawa ya BUSINESS.
Sasa wakuu mwenye ufahamu je leseni ya biashara naipata wapi na je ni requirements gani natakiwa niwe nazo ili niipate leseni na inapatikana wapi wakuu mimi naishi Tabata Segerea.
HAPA KAZI TU
ambacho sijaelewa ni kwamba TRA wamenipa TIN tu mkuu ila hakuna makadirio yoyote tuliyofanyaMkuu maelezo yako hayajakaa vizuri kiasi fulani.
Ukishakua na TIN you just go with it straight Halmashauri. Halmashauri wataangalia nature ya biashara yako then watakupatia leseni. Haichukui hata Massa mawili maana sikuhizi wanafanya kwenye system.
Hope TRA walikukadiria how much to pay annually. Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa.!!!
Je hiyo Tin number umelipia?ambacho sijaelewa ni kwamba TRA wamenipa TIN tu mkuu ila hakuna makadirio yoyote tuliyofanya
TIN ni bure mkuu,sijalipia kitu,nilienda kubadilisha NON-BUSNESS Kuwa BUSNESSJe hiyo Tin number umelipia?
Lesen kwa biashara ya mpesa ni kias gan?TIN ni bure mkuu,sijalipia kitu,nilienda kubadilisha NON-BUSNESS Kuwa BUSNESS
Wambie wakufanyie tax clearance ulipie hapo tra ndipo uende manispaa nako utalipia lesenambacho sijaelewa ni kwamba TRA wamenipa TIN tu mkuu ila hakuna makadirio yoyote tuliyofanya