Naomba nisaidieni jamani. Nimetokea kutokuwa na appetite ya kula, appetite ya mapenzi na nime loose kilo 6 ndani ya miezi 3. Nilikuwa na kilo 85 na sasa nina kilo 79. Sijui kama kulala kwangu late kama saa 6-7 usiku na kuamka saa 1 asubuhi kumechangia, sijui.
asante kwa ushauri lakini kaka mimi ni mtu wa mazoezi.Sina unene wowote ni misuli tuMkuu mie naona uendelee kupungua tu hadi ufikishe kilo 60 itakuwa poa zaidi. Uzito mwingi noma hapo tegemea presha, kisukari na magonjwa mengine yakunyemelee!
Mwanaume unatakiwa mtu wa mazoezi ili mwili uwe fiti kwa kazi zote including ku.to.mba sasa wewe kama una kilo 80 hiyo hamu ya kutia itoke wapi? kwanza lazima utakuwa na kitambi sasa hiyo ndo hata ku.to.mba utashindwa kabisaaaa!
NB: amka kijana fanya mazoezi, nataka unipe jibu as soon kuwa umeshafikisha kilo 60 umesikia enheee?
NB: amka kijana fanya mazoezi, nataka unipe jibu as soon kuwa umeshafikisha kilo 60 umesikia enheee?