mimi nina nyumba ipo iringa na mie naishi dar..sasa nikaona bora nipangishe ya irnga .nikawatafuta Majembe auction mart wanisaidie kutafuta mpangaji hiyo ilikua mwezi wa tano wakanambia wamepata mzungu ila kasema ataingia mwezi wa sita mwanzoni...mwezi wa sita ulipo fika nikaona kimya kuwa uliza wakantel nisubiri na mimi iringa siendi mara kwa mara npo huku nasoma..nimekuja gundua kuwa kumbe yule mzungu aliingia june 1st na aliwapa hela kama mil moja na ushee,aliwapa kodi ya miezi sita na mbaya zaidi nawadai ila wananpa viswahili....then walifoji na contract pia niwafanyaje jamani?