nifanye biashara gan!

upo maeneo gani?
fanya biashara ya kitu unachokielewa au unachokipenda
usikurupuke kuuza mchicha wakati hujawahi kuona bustani inaandaliwaje
 
mbona hvyo jamani kama huna ushaur kaa kimya, asante kwa ulieuliza nipo maeneo gan mmi nipo geita mkoa mpya
 
Mkuu unaweza kumwaga details ya ulichosomea? kama ni vocha inalipa huku Dar sijui huko
mbona hvyo jamani kama huna ushaur kaa kimya, asante kwa ulieuliza nipo maeneo gan mmi nipo geita mkoa mpya
 
Pole ndugu .sema huko cpajui inge kuwa Dar ningeweza kuku shauli
 
Fanya biashara ya Dagaa wa mwanza kwa kuwaleta dsm from mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…