Nifanye biashara gani kwa milioni 3

Nifanye biashara gani kwa milioni 3

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Wadau wa business forums naombeni ushauri, je hivi kwa milioni 3, hivi naweza kufanya biashara ipi tena nipo mbeya , iwe at least inalipa haraka
 
Fungua chips na kuku tena iite Shiny chicken fries
Weka mazingira ya usafi
Anza kuku na mishikaki na mayayi baadae aagiza pweza uwaekee na pweza
Utafanukiwa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mkuu try biashara ya pesa za mtandao kama mpesa na tgopesa nackia zinalipa,ukishindwa jaribu kuuza vpodoz ukichanganya na nguo za ndan
 
Back
Top Bottom