Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,370 Jul 9, 2013 #1 Wadau wa business forums naombeni ushauri, je hivi kwa milioni 3, hivi naweza kufanya biashara ipi tena nipo mbeya , iwe at least inalipa haraka
Wadau wa business forums naombeni ushauri, je hivi kwa milioni 3, hivi naweza kufanya biashara ipi tena nipo mbeya , iwe at least inalipa haraka
M merysinu New Member Joined Jun 21, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Jul 9, 2013 #2 mh fungua duka la jumla
crabat JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 4,323 Reaction score 2,207 Jul 9, 2013 #3 Fungua chips na kuku tena iite Shiny chicken fries Weka mazingira ya usafi Anza kuku na mishikaki na mayayi baadae aagiza pweza uwaekee na pweza Utafanukiwa Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Fungua chips na kuku tena iite Shiny chicken fries Weka mazingira ya usafi Anza kuku na mishikaki na mayayi baadae aagiza pweza uwaekee na pweza Utafanukiwa Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
L luvafrica Member Joined Jun 29, 2013 Posts 56 Reaction score 20 Jul 11, 2013 #4 mkuu try biashara ya pesa za mtandao kama mpesa na tgopesa nackia zinalipa,ukishindwa jaribu kuuza vpodoz ukichanganya na nguo za ndan
mkuu try biashara ya pesa za mtandao kama mpesa na tgopesa nackia zinalipa,ukishindwa jaribu kuuza vpodoz ukichanganya na nguo za ndan