Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 2m

Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 2m

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
475
Reaction score
253
Naombeni ushauri wana jukwaa, naweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa shilingi milioni mbili. Nakaribisha mawazo, niko dsm.
 
Kwa mtazamo wangu uamuzi wa aina ya biashara unategemea vitu vingi sana...mfano..
Watu wanaokuzunguka au wanaozunguka eneo unalotaka kufanya biashara
Hobi yako ww unaetaka kufanya biashara na aina ya watu unaotaka kuwawekea biashara
Upatikanaji wa hy bidha unayotaka kuifanyia biashara
Ujuzi wako ulionao juu ya hy biashara... Na mengine mengi...
Kimsingi kwangu naona sio rahis kujua aina ya biashara mpaka uzijue hizo factor...
 
Anzisha biashara ya kuuza maji ya miwa- sugarcane juice. Vijana Dar es Salaam wameishikilia hiyo biashara maeneo mengi kama Ubungo, Mbagala, Kariakoo. Hata kwenye gazeti waliisifia hiyo biashara. Kuna jamaa anayefanya hiyo biashara anabeba 48,000 net kila siku. Mashine za kukamua miwa haziko ghali...labda kwenye laki 4 au tano. Gharama nyingine itaenda labda kwenye leseni, kuajiri mtu dukani na kununua miwa.

Back
Top Bottom