Kwa mtazamo wangu uamuzi wa aina ya biashara unategemea vitu vingi sana...mfano..
Watu wanaokuzunguka au wanaozunguka eneo unalotaka kufanya biashara
Hobi yako ww unaetaka kufanya biashara na aina ya watu unaotaka kuwawekea biashara
Upatikanaji wa hy bidha unayotaka kuifanyia biashara
Ujuzi wako ulionao juu ya hy biashara... Na mengine mengi...
Kimsingi kwangu naona sio rahis kujua aina ya biashara mpaka uzijue hizo factor...