Nifanye biashara gani Mwanza? Naomba msaada wa mawazo

Nifanye biashara gani Mwanza? Naomba msaada wa mawazo

Bloodmen

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
39
Reaction score
9
Nimejikongoja kutoka uzalishaji wa 1000/=-3000000/=naomba mnipe ushauri nifanye biashara gani? niko mwanza.
 
Nimejikongoja kutoka uzalishaji wa 1000/=-3000000/=naomba mnipe ushauri nifanye biashara gani? niko mwanza.

Mwanza wilaya ipi, nunua vifaa vya umwagiliaji lima kabeji utatumia 1500 000 kununua na kuzalish mpaka kuvuna utauza 2M. Hapo mtaji umerudi na vifaa nivyako utaendelea kwa mtaji wa laki3 hadi 4 na utavuna 2M. MAMBO SI NDO HAYO!! kama una zaidi uliza
 
Niko wilaya ya nyamagana, nyegezi.na sina uenyeji vijijini.nifanyeje?
 
Niko wilaya ya nyamagana, nyegezi.na sina uenyeji vijijini.nifanyeje?

duh! uko town kati. ngoja jamaa waje, ila kuna kipindi 2004 hapo ufukwen nyuma ya kiwanda cha bia ukitokea ufukwe wa place place walikuwa wanalima pia tena ukwa mbele kuvuka kiwanda cha bia
 
kama unaweza kuwa na jamaa yeyote maeneo yoyote naomba uniunganishe, angalau nivutike tena kidogo.
 
mkuu vuka maji nenda mtukula ama uganda chukua mafuta ya samona kwa bei rahs sana anza n mtaj mdg t wa lak 2 iv . pg 1
 
uza maft hay kwa wanachuo hasa hp nygz na mengn zungush kwny madka y madwa/kawaid utapg hla ndgu t .am n PM kwa maswl
 
Back
Top Bottom