Nifanye biashara gani na mtaji wa laki tano?

Waungwana naomba yeyote mwenye wazo la biashara Kwa MTAJI wa laki tano
fungua genge tafuta sehemu iliochangamka . kama mtaji ukikua tafuta matoroli na vijana hata watatu wa kukuuzia genge linalotembea mitaani kwahiyo hapo utakuwa na genge unalokaa mwnyw na magenge yanayotembea . (hiyo ndo biashara ninayoitamanu ila sina mtaj wana jf nuchangieni)

Unapatikana wapi?
 
Tafuta eneo la machinga.... (Nenda sehemu ilochangamka kama machinga complex)

Au tafuta chance kwenye minada,,, then niwe na kuagizia nguo kali za mtumba (nguo za kike) uwe unauza kwa Bei ya Dar. (Dodoma nimekaa Bei zao nazijua)

Utaenda maeneo ya chuo utauza nguo kali za kike kwa Bei ya 5k (mzigo ni grade A )
Kwahyo lazima zikulipe bro

Ntakuuzia kwa Bei ya jumla 3000 kwa pisi moja.. we utauza 5000 ila n nguo kali sana ambazo hata 8000 unaweza muuzia mtu

Au nikutumie mikoba ya mtumba...
Hapa ndo utawakamata wengi minadani maana hii product huwa adimu sana🤝
 
Naomba namba zako...au naomba nitafte 0617528009
Tuyajenge ninawaza sana hii biashara nakosa chimbo
 
Waungwana naomba yeyote mwenye wazo la biashara Kwa MTAJI wa laki tano
Biashara ya kuuza matunda kwa wafanya kazi wa ofisi za uma.
1. Matunda mchanganyiko - 150,000/-
2. Package (100pcs)-10,000/-
3. Vifaa vya kandalia - 30,000/-
4. Simu ndogo ya button@1 50,000/-
5. Sare1@ 25,000/-
6. Vikapu ya kusambazia 5@ 20,000
 
Back
Top Bottom