Kutokana na uwepo wa migahawa mingi eneo hilo,nakushauri ufungue duka la nafaka kama mfuko utaruhusu. Hapo utakuwa na soko la uhakika kwa sababu mama ntilie hawanaga likizo kama ilivyo kwa wanafunzi. Kama utafungua biashara kwa kulenga wanafunzi ,uwe tayari kufunga frem siku za likizo au hata ukiamua kuacha basi ujue tu mauzo yatapungua sanawakuu
nimepata frem kwenye eneo la shule.mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa.ila wameniambia saluni hapana.maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua haiendani na hiyo biashara.
kwa hiyo wameniambia niangalie ingine.kwa pale ki ukweli wanafunzi ni wengi ila biashara ziko nyingi sana.za vyakula na steshenar ndo vipo vingi
sasa nauliza kwa mazingira haya nifanye biashara gani
asante sana kwa ushauriKutokana na uwepo wa migahawa mingi eneo hilo,nakushauri ufungue duka la nafaka kama mfuko utaruhusu. Hapo utakuwa na soko la uhakika kwa sababu mama ntilie hawanaga likizo kama ilivyo kwa wanafunzi. Kama utafungua biashara kwa kulenga wanafunzi ,uwe tayari kufunga frem siku za likizo au hata ukiamua kuacha basi ujue tu mauzo yatapungua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo speculation ndio zinakukosesha fedha,hata bakhersa angefikiria kama wewe asitengenezea maandazi kisa mama mwajuma anapika maandazi na vitumbua mtaani,sijawahi kuona mwanafunzi wa form 1 hadi 6 hana simu,hizo zilikuwa enzi za mwalimu kipindi cha C25,A35 lakini sio kizazi hiki cha Tecno,itel...hawa wanakaa dei hawaruhusiwi sim.afu kingine kipind matokeo yanatoka wanakuaga mbali