assadymadenge
New Member
- Jan 15, 2024
- 1
- 1
Habari za muda huu wadau. Mie nimuajiriwa wa sector X. Kipato napata cha kawaida. Nina mtaji hapa wa milioni mbili. Nipo mkoa wa lindi nianze Biashara gani iniingizie Atleast pesa ya mboga.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa laki kwanza ukajipongeze huku unatafakari ufanye nini.Habari za muda huu wadau. Mie nimuajiriwa wa sector X. Kipato napata cha kawaida. Nina mtaji hapa wa milioni mbili. Nipo mkoa wa lindi nianze Biashara gani iniingizie Atleast pesa ya mboga.?