BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
AsanteFanya biashara ya kuuza duka
Dar es SalaamUpo mkoa gani
Ingia Pwani nunua maeneo yanayouzwa bei poa kata viwanja 20 kwa 20 uza... Hiyo 20M ndani ya miezi 6 itakuletea 40MWakuu poleni na majukumu.
Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho
Ushauri wenu ni muhimu sana
Mkuu nakuelewa, hiyo biashara Ina utapeli mkubwa wa viwanjaIngia Pwani nunua maeneo yanayouzwa bei poa kata viwanja 20 kwa 20 uza... Hiyo 20M ndani ya miezi 6 itakuletea 40M
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa watu siyo muhimu sana kama unavyodhani. Ushauri wa watu ni mwanzo tu na kinachotakiwa ni wewe kufanya research ya kutosha kabla hujafanya chochote. Hapa mtu anaweza kukuambia ''Nenda Bagamoyo kanununue mkaa leta Dar, uza kwa jumla''. Kwenye maandishi inaonekana ni kitu rahisi mno lakini ukiingia field utakutana kugundua mambo mengi.Wakuu poleni na majukumu.
Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho
Ushauri wenu ni muhimu sana
Hiyo biashara sikushauri ...jamaa kaiongelea kirahisi sana ila ni changamoto mnoMkuu nakuelewa, hiyo biashara Ina utapeli mkubwa wa viwanja
Nakuelewa mkuuHiyo biashara sikushauri ...jamaa kaiongelea kirahisi sana ila ni changamoto mno
Sio miezi miwili. Ila hicho kitu naendelea nacho,Miezi miwili umesave 10M
Endelea kufanya kilichokupa milion 10
Asante sanaMimi nakushauru fanya biashara yoyote ambayo mtaji wake utakuwa ni milioni tano. Usivuke hapo kabisa. Hakikisha unatumia mtaji wa milioni tano tu.
Najua una milioni 20. Usije ukathubutu kuiweka yote kwenye biashara, tumia robo ya hiyo fedha kama mtaji. Ukifanikiwa kuongeza milioni 3 baada ya miezi sita, sasa ongeza mtaji hapo milioni 5 tena ambayo ni hiyo milioni 3 iliyozalishwa + milioni 2 kutoka kwenye milioni 15 uliyobaki nayo.
Fanya hivyo hivyo kila miezi 6 baada ya miaka 5, utakuwa na biashara yenye mtaji ulionao sasa, ila ni kama tu itaenda sawa, vinginevyo utaanza upya Mkuu.
Kila la heri.
Uza vipuli vya magari vipya sio used unaweza kuanza kununua hapo hapo Kariakoo na ukafungua Duka nje ya hapo....usiuze used kipuli utapata hasara ukaanza kunikumbuka kuwa nilikushauri vibaya na pia ulenge Toyota hasa vile vitu vinavyoharibika sana unachanganya na oil za Toyota pamoja na Castro maisha yatakwenda tunasema Chuma hakimtupi Mtu..uza vile vyenye mzunguko mkubwa ili usikae na chuma muda mrefu na huku ndio unaanza hata kama sio fani yako tembelea garage za magari ujifunze usikurupuke hiyo ndio penati yako ya mwisho...Dar es Salaam