ramadhan shillah
Member
- Jan 3, 2012
- 7
- 1
ndoa ina mwaka mmoja tu ushamsaliti mkeo?!
Endelea kumwomba msamaha,ongeza mapenzi, kama una nyendo zisizofaa ziache!
usimshirikishe mtu yoyote katika kusuluhisha ni nyie wawili kaeni mtaoneana aibu na kupata jawabu.~~~