Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,416 Reaction score 16,603 Jul 14, 2020 #21 Mimi bado sijaona solution ya tatizo. Nataka nijue ili na mimi nikija kununua gari kama itanitokea nijue chakufanya.
Mimi bado sijaona solution ya tatizo. Nataka nijue ili na mimi nikija kununua gari kama itanitokea nijue chakufanya.
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Jul 14, 2020 #22 Ushimen said: Inaweza pia ikawa foot brake. Hii huwa tunaiita parking brakes. Click to expand... Yeah ndio hio, naamini wengi wetu kwenye gari hatucheki hio kitu. Mie wa kwanza
Ushimen said: Inaweza pia ikawa foot brake. Hii huwa tunaiita parking brakes. Click to expand... Yeah ndio hio, naamini wengi wetu kwenye gari hatucheki hio kitu. Mie wa kwanza