Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie kivipi naweza kuzuia hayo mawasiliano kupitia simu yangu?Simu ya mkononi ni mali ya mtu binafsi! Kwanza hilo likae akilini kwanza!
Chochote kinachoweza kutokea kutokana na namba yako ya simu ama kifaa chochote cha mawasiliano ambacho umewahi kumiliki, ukae ukijua 1st suspect ni wewe
Huyo mtu hawezi pata huduma mpaka a' verify acc ambapo wewe muhusika ulitakiwa ku conferm hizo codes ili app ipate utambulisho wako
Mazoea ya kuazimana simu ki zembe zembe gharama yake ni hiyo, hivyo ina dhihirisha hiyo simu yako hata uweke passcode ngapi ni useless kwa7bb wewe ni mzembe by origin ( niwie radhi )
Pia kupitia simu yako unaweza ukazuia hayo mawasiliano sio mpaka u report huku na kule
Uzembe mkubwa nilioufanya Jana kwa kuchukulia vitu rahisi rahisi ndio umefanya apate OTP codeAlipataje otp code?
Mh! Nikama Ulijua kweli Unapata Hicho kituUzembe mkubwa nilioufanya Jana kwa kuchukulia vitu rahisi rahisi ndio umefanya apate OTP code
Huyu jamaa alinifuata WhatsApp na alipokuja tu nikajua kuwa ni muongo/tapeli lakini ikabidi niact kama sijasuspect kitu chochote maana nilikuwa nataka kujua mbinu mbalimbali zinazotumiwa na watu wadanganyifu. Code zilipokuja hata sikuangalia kama ni OTP nikacopy tu ikatuma WhatsApp nione ataendeleaje kumbe ndio ilikuwa hatua ya mwisho. Nailifanya ujinga sana ila nimepata funzo
Next time nikiona nina mashaka na mtu kuwa ni mdanganyifu sina haja hata kujua ataendeleaje, nitamblock hapohapo maana sijui final step yake ni ipiView attachment 2513495
Hizo code sikuzichukulia kama ni personal information. Nilifanya uzembe sana kisa tu kutaka kufuatilia na kujua nyendo zake
Hahaha dah shida kweliUzembe mkubwa nilioufanya Jana kwa kuchukulia vitu rahisi rahisi ndio umefanya apate OTP code
Huyu jamaa alinifuata WhatsApp na alipokuja tu nikajua kuwa ni muongo/tapeli lakini ikabidi niact kama sijasuspect kitu chochote maana nilikuwa nataka kujua mbinu mbalimbali zinazotumiwa na watu wadanganyifu. Code zilipokuja hata sikuangalia kama ni OTP nikacopy tu ikatuma WhatsApp nione ataendeleaje kumbe ndio ilikuwa hatua ya mwisho. Nailifanya ujinga sana ila nimepata funzo
Next time nikiona nina mashaka na mtu kuwa ni mdanganyifu sina haja hata kujua ataendeleaje, nitamblock hapohapo maana sijui final step yake ni ipiView attachment 2513495
Hizo code sikuzichukulia kama ni personal information. Nilifanya uzembe sana kisa tu kutaka kufuatilia na kujua nyendo zake
Naomba msaada wenu[emoji120][emoji120]Mh! Nikama Ulijua kweli Unapata Hicho kitu
Hapa ndipo ulipokosea, kashafanya settings za ac katoa namba kupokea changes zozote na kuweka hiyo email yake. Wasiliana na Telegram uwaelezee vizuri maana OTP ndio kila kitu.Uzembe mkubwa nilioufanya Jana kwa kuchukulia vitu rahisi rahisi ndio umefanya apate OTP code
Huyu jamaa alinifuata WhatsApp na alipokuja tu nikajua kuwa ni muongo/tapeli lakini ikabidi niact kama sijasuspect kitu chochote maana nilikuwa nataka kujua mbinu mbalimbali zinazotumiwa na watu wadanganyifu. Code zilipokuja hata sikuangalia kama ni OTP nikacopy tu ikatuma WhatsApp nione ataendeleaje kumbe ndio ilikuwa hatua ya mwisho. Nailifanya ujinga sana ila nimepata funzo
Next time nikiona nina mashaka na mtu kuwa ni mdanganyifu sina haja hata kujua ataendeleaje, nitamblock hapohapo maana sijui final step yake ni ipiView attachment 2513495
Hizo code sikuzichukulia kama ni personal information. Nilifanya uzembe sana kisa tu kutaka kufuatilia na kujua nyendo zake
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Njia nzuri ya kujifunza ni kupitia experience, tangu Jana najilaumu sana nilivyoingizwa mjini kizembe. Nilijiona mjanja kutaka kujua mwisho wake. Sasahivi naomba tu msaada kisa uzembe wangu. Nina hamu sana na magroup ya movie ya Telegram ila hii issue ndio inanikera hadi sasahivi.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeingia kingi kizembe sana, acha tamaa
Huko Telegram sijui itachukua muda gani kunijibu naona kama wanapuuzia tu, I wish kungekuwa na namba ya kuwasiliana nao au direct way to contact them.Hapa ndipo ulipokosea, kashafanya settings za ac katoa namba kupokea changes zozote na kuweka hiyo email yake. Wasiliana na Telegram uwaelezee vizuri maana OTP ndio kila kitu.
Vumilia 6 days lakini jamaa akiona hiyo alert anaweza kucancel na kama akirequest option ambayo itahitaji OTP na zikatumwa kwake kwa comfirmation itakua changamoto sana kwako.Huko Telegram sijui itachukua muda gani kunijibu naona kama wanapuuzia tu, I wish kungekuwa na namba ya kuwasiliana nao au direct way to contact them.
Hivi account ikishakuwa reset inakuwaje unaweza kunisaidia. Sasahivi zimebaki siku 6 account iwe reset sijui kama itasaidia
View attachment 2513597
Tangu jana nikipiga inaita tu af inakata[emoji45][emoji45]Piga hii namba 112 utanishukuru
Mtu yupo UK anataka akupe MB 5000 wewe upo Tanzania?Uzembe mkubwa nilioufanya Jana kwa kuchukulia vitu rahisi rahisi ndio umefanya apate OTP code
Huyu jamaa alinifuata WhatsApp na alipokuja tu nikajua kuwa ni muongo/tapeli lakini ikabidi niact kama sijasuspect kitu chochote maana nilikuwa nataka kujua mbinu mbalimbali zinazotumiwa na watu wadanganyifu. Code zilipokuja hata sikuangalia kama ni OTP nikacopy tu ikatuma WhatsApp nione ataendeleaje kumbe ndio ilikuwa hatua ya mwisho. Nailifanya ujinga sana ila nimepata funzo
Next time nikiona nina mashaka na mtu kuwa ni mdanganyifu sina haja hata kujua ataendeleaje, nitamblock hapohapo maana sijui final step yake ni ipiView attachment 2513495
Hizo code sikuzichukulia kama ni personal information. Nilifanya uzembe sana kisa tu kutaka kufuatilia na kujua nyendo zake
A! Pole sana! Nilihisi tangu mwanzo ni kosa la uzembe! Ila ndio shule! Vipi kama hiyo namba ukaenda tigo ukataka waisitishe kwa shughuli zozote za mawasiliano!!?Uzembe mkubwa nilioufanya Jana kwa kuchukulia vitu rahisi rahisi ndio umefanya apate OTP code
Huyu jamaa alinifuata WhatsApp na alipokuja tu nikajua kuwa ni muongo/tapeli lakini ikabidi niact kama sijasuspect kitu chochote maana nilikuwa nataka kujua mbinu mbalimbali zinazotumiwa na watu wadanganyifu. Code zilipokuja hata sikuangalia kama ni OTP nikacopy tu ikatuma WhatsApp nione ataendeleaje kumbe ndio ilikuwa hatua ya mwisho. Nailifanya ujinga sana ila nimepata funzo
Next time nikiona nina mashaka na mtu kuwa ni mdanganyifu sina haja hata kujua ataendeleaje, nitamblock hapohapo maana sijui final step yake ni ipiView attachment 2513495
Hizo code sikuzichukulia kama ni personal information. Nilifanya uzembe sana kisa tu kutaka kufuatilia na kujua nyendo zake
Nitajaribu kufuata ushauri huu siku 6 zikipita, Asante sanaA! Pole sana! Nilihisi tangu mwanzo ni kosa la uzembe! Ila ndio shule! Vipi kama hiyo namba ukaenda tigo ukataka waisitishe kwa shughuli zozote za mawasiliano!!?
Hawa jamaa hua wanazitumia kwenye utapeli mpaka nchi zingine, kama m1 wa watakao tapeliwa ama wakianza kuzifuatilia ukae ukijua uatapata kesi kama ya yule m'nijeria H_ PAPI