Boflo hapo jibu ni rahisi, hivyo ulivyovitaja na vingine ambavyo hukutaja ndo vinavyosababisha uendelee kuwa naye, na inaelekea ulivitanguliza hivyo kama gia yako ya kumpata, so ujue siku vikikatika ndo umuoni tena!
Ushauri: endelea kumfanyia ili uendelee naye au tafuta anayekupenda kwa dhati uachane na huyo. Na ukiamua kutafuta mwingine, usitangulize tena hayo makitu kitu yako, vinginevyo utaishia kupata fake tena.