Nifanye Nini ili anipende??

3-Ni Msukuma
PIGA CHINI CHUKUA MCHAGA ATAKUPENDA TU UKIMPA PESA
Ufundi mwingi sana nimetumia..
YEYE ANAPENDA MASHAROBARO WASIOKUWA NA UFUNDI
 

Tatizo ulijifanya pedeshee alafu unaamini mahusiano yanajengwa na pesa na ujuzi wa kufanya ngono pekee kumbe kuna vitu vingine vya ziada kina dada wanataka. Kwani wewe hujawahi kuona mtu anapewa kila kitu alafu mwisho wa siku unamkuta anachukuliwa na mtu mwingine ambae anatoa zawadi za kawaida tu (nadhani hujajua interest za huyo mrembo wako). Alafu umri alionao una complication pia umesema amewahi kuumizwa sana kimapenzi, hapo ndi inashangaza kwa umri huo ametendwa sana kimapenzi which means ameshakuwa na mahusiano na watu kibao, just imagine mwenyewe ktk umri huo unadhani huyo yukoje..........tafakali......haki elimu
 

ni kweli kabisa unayosema mkuu.....Asante
 
Anasubiri umnunulie gari ndo aanze kukupenda! hebu fanya hivyo tuone..
 
Tishia kujinyonga kwa kumeza viagra vidonge mia
 
bongoo.... weee ... bongo .... dar es salaam.... utalia...lia..... ndani ya dar es salaam.
ndugu... nafikiri hujawahi kumiliki mwanamke kama huyo... (POLE)
Na usimchukie yeye chukia mambo uliyomfanyia kwa pupa...
 
let it go,usikubali mtu yeyote akuumize kisaikolojia ikiwa unaweza kuepuka hali hiyo,kama unaona dhahiri hana mapenzi ya kweli,achia ngazi mapema,haya mambo huwa hayalazimishwi,ila ni ushauri wangu,decide thy destiny
 
tuma picha yako niitathmini! lolest! jamani pole! hamia airtel pia, inaweza kukusaidia!
 
kama vipi kajipumzishe mabwepande kwa muda! kha!
 
Labda ubadili id yako ya jf, inawezekana haipendi.

22 yrs ameshaumizwa sana kwenye mapenzi? Duh, by the time anafika umri wangu sijui kama atakuwa na moyo tena maskini!
 
gawa dozi kisawasawa,atakupenda tu....:eek2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…