Nifanye nini ili mpenzi wangu aniamini.....

aaasalalaaa! Kwa hiyo huyo dada aliendelea tena kuvumilia ili aletewe tena kengine au??
 
Umeshafanya madudu mengi kabla, yanamfanya aone unamuingiza mjini. Muoe fasta ali atafute kitu kingine cha kufirkiria.
 
aaasalalaaa! Kwa hiyo huyo dada aliendelea tena kuvumilia ili aletewe tena kengine au??

alisamehe kwa sababu mtoto alizaliwa kabla hajajuana na mshkaji na jamaa nae akijielezea vya kutosha. Huyo wa pili ilikuwa ngumu maana ilionyesha jamaa sio mwaminifu kabisa.
 
Anakupenda ndio maana ana wasiwasi kwa sababu dunia
ya sasa ni kusalitiana kwa kwenda mbele!
 
Usikimbilie kusolve tatizo bila kujua chanzo kaka lazima uingie chaka! Unatakiwa kwanza ujue ni nini kinamfanya asikuamini. Don't make assumptions, ukaribu wenu na mawasiliano yenu vitakusaidia kutatua hilo tatizo iwapo mtaliweka kwenye maongezi yenu! Alafu yale masuala ya kuvalishana pete mamiaka .......usifanye huo mchezo!
 
alisamehe kwa sababu mtoto alizaliwa kabla hajajuana na mshkaji na jamaa nae akijielezea vya kutosha. Huyo wa pili ilikuwa ngumu maana ilionyesha jamaa sio mwaminifu kabisa.

Kwakweli sio mwaminifu jamani, yaani kuzaa katoto kengine nje wakati yuko nae tena ameshapiga hatua ya kujicommit kwake!! Hiyo ni ishara ya kuletewa football team ndani ya ndoa!
 
Nyie wote MATAPELI
 
Pete kitu gan bwana. Watu wanaoana leo kesho wanaachana. Kama hakuamin mpe ukweli kwa sababu huwez kuwa mtu wa mashaka daily . Kama anaendelea tafuta mwingine mabinti wapo wengi mkuu

siku hizi wengine pete wanaiita PASSWORD
 
umemvisha pete kivipi? Umemlipia mahari au ndo zile pete za kuvalishana chochoro
 
Ana7bu huyo kuna kitu kutoka kwakokinampa wasi wasi ndo mana anahisi unamdanganya.
 
mkamue vizuri, kisha mpe mimba!
 
Kwanza tafuta izo sababu zinazo mfanya asikuamini, ukishazipata, anza kuzitatua moja moja. Mbona atakuamini tu.
Kuna watu huwa hata wenyewe hawajiamini, sembuse kuamini mtu?
 
mkuu inaonesha dhahiri umeshaharibu saana ndo mana hata ka umejirekebisha hana imani hata kidogo

haswa coz mwanamke ukishaona ana wasiwasi na wewe ina mahana hakuamini kutokana na matendo yako ,kama uliwahi kuharibu ndo kabisaa na huwa huleta sna shid a kwenye mapenzi
 
Hamuaniniki nyie wanaume, wazuri sana kwa kutoa maneno matamu kutoka midomoni mwenu lakini si matendo. Kumvisha pete siyo kigezo cha kudhiirisha unampenda na utamwacha.
 
Hamuaniniki nyie wanaume, wazuri sana kwa kutoa maneno matamu kutoka midomoni mwenu lakini si matendo. Kumvisha pete siyo kigezo cha kudhiirisha unampenda na utamwacha.

hebu nifafanue ili nijue matendo gani unayapenda ili udhihirishiwe penzi la dhati
 
Kwanza tafuta izo sababu zinazo mfanya asikuamini, ukishazipata, anza kuzitatua moja moja. Mbona atakuamini tu.
Kuna watu huwa hata wenyewe hawajiamini, sembuse kuamini mtu?

hakika hili ni wazo mujarabu mdau.....safi sana
 
Muulize yeye anataka ufanye nini ndio utajua cha kufanya. Mimi pia nilikua na shida hiyo, ila kuna siku nilikaa na mpenzi wangu, nikamwambia kwa nini nakua na wasi wasi, tatizo lilianza wapi na hadi siku hiyo ni dalili gani zilifanya niendelee kuona relation iko insecure.
pamoja tukaona ni vitu gani vya kufanyia kazi (kwake na kwangu) na nilipo jiskia niko comfortable ndio tukaenda hatua ya juu kidogo.
Hata mfunge ndoa ataendelea kua na wasiwasi na wewe.
 
Kwanza tafuta izo sababu zinazo mfanya asikuamini, ukishazipata, anza kuzitatua moja moja. Mbona atakuamini tu.
Kuna watu huwa hata wenyewe hawajiamini, sembuse kuamini mtu?

men u real valid. . .tanx!
 
Asanten sana wadau nimejtahd kufanyia kaz hayo yote. . .kdogo m doin gud na huyu mdada ...and i rl missed u guyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…