Nifanye nini ili niache umbea

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ninapenda sana kujua habari za watu, kuanzia macelebrity mpaka majirani zangu. Ninapenda kusoma habari hizo mitandaoni mpaka kwenye magazeti. Ninaweza kununua gazeti sh10,000 mradi tu nijue Oprah amefanya nini wiki hii. Ninataka niachane na ki tabia hiki.
 
Pole sana mamy.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tuma cv yako SHILAWADU utaajiriwa faster
 
Upo kwenye uhusiano wa kimapenzi?

Una miaka mingapi?

Grisi ya kutosha kununua magazeti ya elfu kumi umeitoa wapi? (Jokes)

Kufuatilia hizo habari kumeathiri utekelezaji wa majukumu yako?
 
bora ww umetambua tatizo lako mungu akuongoze naamini utafanikiwa
 
Pepo la uchakubimbi linakusumbua anza kulipeleka kwa kusoma vitabu vya Robert kayosaki
 
Wanawake tuliumbwa na umbea kwenye damu sio kazi rahisi kuacha
 
Umeolewa?? Jiweke busy na ibada pamoja na kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…