Nifanye nini ili nife kiurahisi bila kuteseka?

Ukishauriwa njia nzuri ya kujiua nishtue maana hata mimi ndiyo lengo langu kujikongoja huko huko, na kilichofanya nijiondoe ni sababu hizi;
1) North Korea na US kutokupigana vita
2) Jamaa kutokuonyesha vyeti vyake
3) Yanga kuniletea aibu
4) Marekani kushindwa kutest na huku kwetu lile bomu la Moab ili na sisi tuhakikishe kama kweli ni kama mbingu zinaanguka
5) 50 Cent kutokutamba kama zamani katika hip hop
hizo ndiyo sababu zangu na mwenyewe umeona kabisa uzito wake, bora niondoke tu niwaachie dunia yao.
 
Hayupo serious huyo mleta mada ana utani mbaya na ataishia pabaya lazima!
 
Ukiona mpaka umerudi kuomba ushauri wa jinsi gani ufe bila kuteseka.basi ujue siku zako za kufa hazijatimia.kwa kuwa umefanya majaribio umeshindwa.subiri tu siku zako zifike utakufa tu,tena kipindi hicho hata humu jamii hutaingia na pia neno jamii forum utaliita "niokoe mwokozi forum".laiti ungejua umauti ulivyozungumziwa katika biblia na msahafu usinge andika haya machache yaliyo kichwani mwako kwa uchache wa mawazo uliyonayo.naamini usingeleta(UWAKU)"upungufu wa kufikiri" humu
 
Swala la kuisoma namba ni letu sote isitokee mtu akataka kulikwepa, tunaomba mwenyekiti wa wasoma namba atoe tamko na kuchukua hatua stahiki kuhakikisha tatizo kama hili halijitokezi tena kama tulivyofanya kwa yule dada aliyejirusha kwenye boti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ongezea na hili Baba Jesca kagoma kutuajili
 

Kwanini ufikie huko bro?

Whenever unajiskia upo down angalia wanaokuzunguka. Wagonjwa, walemavu, mayatima... halafu jiangalie na wewe Mwenyezi Mungu amekutunuku viungo vyote.

Mungu hakuahidi kuwa anatuleta duniani tuishi maisha ya raha mustarehe bila mitihani mbali mbali. Hapana. Raha ya ukweli imeahidiwa katika maisha ya baadae.

Usiwaze kujidhuru. Mungu hakupi mtihani mzito kuliko uwezo wa mabega yako.

If you ever need someone to talk to confidentially. Am here. Count on me.

Lots of love,

KARUCEE
 
Ulifanikiwa kufariki?

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 

Shida yote na nn mkuu? ujinyonge kwa mateso,ujiarishie,utie aibu kwa ndugu na marafiki na kuwapa kazi ndugu zako kukutawaza? wewe INGIA TU MSIKITINI NA NGURUWE WAKO MZIMA MZIMA ALAFU UWONE KAMA KESHO UTAFIKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…