Eyume Dedu
Member
- May 28, 2021
- 68
- 42
Ungesema upo nchi gani kwanza ili tujue tunaanza wapi kukushauri,, Hii itasaidia hata ambao wanaishi huko au waliwahi ishi huko kukushauri.Habari...!
Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha
OmanUngesema upo nchi gani kwanza ili tujue tunaanza wapi kukushauri,,
Hii itasaidia hata ambao wanaishi huko au waliwahi ishi huko kukushauri
Wengine tulikuwa nje ya mkoa tu ila yalitukuta magumu.Usijaribu kuagiza kuwa ufanyiwe jambo lolote Tanzania !! Utajuta . Vumilia mpaka utakaporudi
Duh ulipatwa na nini Gentleman?Wengine tulikuwa nje ya mkoa tu ila yalitukuta magumu.
Zingatia ushauri wa mkuu hapo.
Nikae kwa kutuliaWengine tulikuwa nje ya mkoa tu ila yalitukuta magumu.
Zingatia ushauri wa mkuu hapo.
Habari...!
Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na sihitaji kukaa nje muda mrefu ntaka kurudi nyumban within miaka mi2
Nataka nipate kitu cha kufanya nyumbn kitakachoniongezea kipato mbali na mshahara
Nifanye nini au nisubiri mpk nitakaporudi nyumbani?
Sound good asante mpenziTunza tu pesa zako kwenye kibubu
Au kama unaweza nunua ardhi kidogo inafaa
Haieleweki wanafunga na kufunguaLockdown wameondoa hukoo ?
Aisee kuna mwamba anapiga m400 kwa mwaka kama masiharaEmbu weka akiba mkuu ukikaribia kuja unitafute nikusaidie ushauri kuanzisha mradi wa shule ya English medium, wewe hata ukija Likizo nitafute. Huo ni mradi wa kudum na gape bado lipo, wewe utaendesha vizuri maana umeshakuwa na displine ya hela.Sihitaji malipo ukifanikiwa najua hutaniacha njaa.
Acha kabisa mkuu ni woga tuu wa watu ila haya mambo yanawezekana
Wazo zuri lakini linahitaji mtaji mkubwa (start-up + operational costs), isitoshe kupata walimu wenye sifa za kuipandisha shule ili iaminike siyo rahisi.Embu weka akiba mkuu ukikaribia kuja unitafute nikusaidie ushauri kuanzisha mradi wa shule ya English medium, wewe hata ukija Likizo nitafute. Huo ni mradi wa kudum na gape bado lipo, wewe utaendesha vizuri maana umeshakuwa na displine ya hela.Sihitaji malipo ukifanikiwa najua hutaniacha njaa.
Ilikuwa ni kilimo cha maharage bibie, yaani nilipigwa chenga ya mwili kana kwamba sikuweza kuambulia chochote.Duh ulipatwa na nini Gentleman?
Hii kuna ndugu yangu alishafanyiwa alituma pesaaa weee mwisho wa siku amaambiwa mvua imepita na mazaoIlikuwa ni kilimo cha maharage bibie, yaani nilipigwa chenga ya mwili kana kwamba sikuweza kuambulia chochote.
Shamba halikupandwa, hela ya mbegu ililiwa na hapo taarifa nilikuja kupewa baada msimu kupita...
Imagine mtu umekodi eneo, umelimisha na umetoa hela ya mbegu halafu mwisho wa siku unaambiwa shamba halikupandwa..🤔
Mwisho wa siku ilibidi nimtume mdogo wangu aende kuconfirm. ☹️☹️
So kwenye hiyo betting nikawa nimepigwa namna hiyo.
Wazo la shule inawezekan sio mbaya lakin kwangu ningefanya kutokana na mitaala yetu mibovu ya kutengeneza wasomi tegemezi sitaki kuwa tayari kuendleza ukoloni nyumbniWazo zuri lakini linahitaji mtaji mkubwa (start-up + operational costs), isitoshe kupata walimu wenye sifa za kuipandisha shule ili iaminike siyo rahisi.
Biashara endelevu ni mazao ya chakula (mahindi + mchele). Kwa kuanzia unafanya kununua na kuuza kwa wauza rejareja baadaye unanunua shamba na kulima mazao yako mwenyewe badala ya kununua na kuuza.
Kuna dogo alianzisha kwa mtaji wa laki 3.Mazao sawa yanahitaji uhifadhi pia, kuyasafisha yakae kiwango kulingana na status, hauwezi kutoka nje ya nchi uje uanzishe uuzaji wa mazao, kwanza madalali lazima wakukalishe kwanza biashara ya buy and sell kwa mgeni ni ngumu, kuhusu waalimu, mfano shule ya msingi waalimu wanapata training kila baada ya muda kwa gharama ndogo sanaWazo zuri lakini linahitaji mtaji mkubwa (start-up + operational costs), isitoshe kupata walimu wenye sifa za kuipandisha shule ili iaminike siyo rahisi.
Biashara endelevu ni mazao ya chakula (mahindi + mchele). Kwa kuanzia unafanya kununua na kuuza kwa wauza rejareja baadaye unanunua shamba na kulima mazao yako mwenyewe badala ya kununua na kuuza.
Biashara itakayokufaa ni ya service, hizo zingine zinakuhitaji uwepo kila mda, kwa sababu service kama education kila term unamoniter ada kwenye akaunti, kilimo kinahitaji uwepo karibuWazo la shule inawezekan sio mbaya lakin kwangu ningefanya kutokana na mitaala yetu mibovu ya kutengeneza wasomi tegemezi sitaki kuwa tayari kuendleza ukoloni nyumbni
Watoto wangu wenyewe shule waisahau kama mifumo itaendelea kuwa hivi
Nilikua nafikiri kuhusu kilimo sema nachowaza ni wa kumuachia nyumbn