Nifanye nini ili niongeze kipato changu?. Kwa sasa nipo nje ya nchi

labda ungekua unamwambia akutumie picha ya kila step kupanda, kupalilia , kuvuna nk atleast uwe unajua kafikia wapi.
Kwa jinsi mashamba ya kule yalivyo makubwa na ni porini, hata akipiga jingine ni ngumu kutambua.
Polee au alikuona gentleman huna makuu? Mi sijui ningemfanyaje aisee ningemng'ata pua
Mie ni mkorofi wa chini chini, we muulize tu Karucee

Sema hapo ilikuwa tu ni siku yangu ya kupigwa...
 
Waaminifu ni wachache sana.
Nataka nijaribu kubet tena, awamu hii nimepata karibu (about 50km kutoka hapa nilipo)
Ok ikiwa ni karibu ni nzuri maaana utaweza kutembelea na kufahamu progress πŸ‘ safari hii the future is promising..ukipigwa tena basi sasaπŸ˜€πŸ™Œ
 
wengi wao wanaofanya kazi huko ughaibuni uwekezaji wao mwingi sana huku bongo ni ardhi, weka pesa zako huko huko au hata kwenye akaunti alafu uje kuwekeza kwenye ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…