Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Ahsante Mkuu, nimekumanya vyediPole kwa kuchanika....fanya mazoezi ya kutembea yanasaidia sn
nenda hospitali ya maana (if possible pale ulipojifungulia mwanzo maana wana data zako) then onana na gynaecologist mwelezee vizuri shida yako then utakua kwenye mikono salamaHabari zenu wapendwa.
Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu humu ndani.
Tatizo nililo nalo wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza niliumwa uchungu mkali sna kwa muda mrefu kama siku2 hv bila kupumzika wala kukata mpaka nikawekewa drip ya uchungu, na baadae njia ikafunguka nikajifungua vzr tu, ila sasa mtoto alitoka akiwa na kilo4 na alinichana sna kiasi kwamba nilishonwa nyuzi za kutosha, alafu ndo mimba Yangu ya kwanza.
1) Sasa hv ni mjamzito tena, naomba ushauri nifanye nn ili nisiumwe kwa muda mrefu na uchungu.
2)Nifanye nn ili nisichanike wakati wa kujifungua.
Nawasilisha..
Yap nilishonwa vzr, na nipo vzr ila naogopa kuchanika tena. Maana kupigwa nyuzi huko chini kunauma balaaaaFanya mazoezi ya kutosha
Nenda hata gym za kisasa
Relax pia,
Ila ukichanika ukipata Dr mzuri anakushona unabakia vizuri tu.
Daaaaaaaahhh kumbe Ni MwathuuAhsante Mkuu, nimekumanya vyedi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Daaaaaaaahhh kumbe Ni Mwathuu
Twende usangi ukafanye mazoez ktk ile Milima mamaa
mmmmhAhsante Mkuu, nimekumanya vyedi
Mwacheni Mungu tumtukuze jamani na uchungu wote huo ulirudia ule mchezoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15]Habari zenu wapendwa.
Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu humu ndani.
Tatizo nililo nalo wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza niliumwa uchungu mkali sna kwa muda mrefu kama siku 2 hivi bila kupumzika wala kukata mpaka nikawekewa drip ya uchungu, na baadae njia ikafunguka nikajifungua vizuri tu, ila sasa mtoto alitoka akiwa na kilo 4 na alinichana sana kiasi kwamba nilishonwa nyuzi za kutosha, halafu ndio mimba Yangu ya kwanza.
1) Sasa hivi ni mjamzito tena, naomba ushauri nifanye nn ili nisiumwe kwa muda mrefu na uchungu.
2)Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua.
Nawasilisha..
NOTED.Nimeona kwny tiba asilia wanasema ule asali siku za kujifungua zikikaribia iunguza uchungu wa mfululizo
Ru prego?!NOTED.
4 future ref.Ru prego?!