Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
achana na vyakula vya makopo havifai hata kidogo
kula vyakula vya asili hata kilevi kiwe cha asili mf. Acha bia kunywa ulanzi nk
Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea.
Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa.
Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
Mkuu,Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea.
Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa.
Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
Mkuu, kwanza menopouse inawahusu dada zetu tu. Pili, hata hao wanawake waliofikia huko, bado wanakuwa wako active kingono. Kwa lugha nyengine, hakuna kikomo cha umri kwa wanawake na wanaume kinachowazuwia wasiwe wachangamkiaji wa hii kitu. Sasa ikiwa wewe au yeyote awaye yupo kwenye 40's na mtaimbo umelala, nashauri haraka waone wataalamu, isijekuwa tatizo ni kinyume cha huo urijali.Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea.
Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa.
Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
How aging can affect fertility and virility in men.
While women experience a sudden cessation of fertility with the onset of menopause, men generally don't experience a significant change in fertility as they age.However, recent studies show that as men age, their reproductive abilities do decline.
It is true that men produce sperm throughout their lives, but there is a measurable decrease in the concentration, count and motility in the sperms produced after men reach the age of twenty-five.