Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
π€£π€£Kama idea tu hauna basi hauwezi kuwa
Anzia ulipo!Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
π€£π€£ nilipo haiwezekan mkuu hata utajiri wa familia tu uongoAnzia ulipo!
Kungekuwa na hayo masharti basi wengi wangekuwaSawa lakini utaweza masharti?
ngoj niseme comment tu hapa
Fanya unachofanya Kwa bidii!π€£π€£ nilipo haiwezekan mkuu hata utajiri wa familia tu uongo
Hili jibu jepesi la motivation speakersAnzia ulipo!
hata sijawahi kuwaza kabisaπ πMsichana wewe hutaki kuwa tajiri? π
hebu mfunguke bwana π πHahaha sasa unatuuliza sisi hohehahe tukusaidie mawazo mkuu, kwani hatupendi na sisi hadi tuwe motivasion spikaz?ππππ
hebu mfunguke bwana π π