fanya kazi kwa maarifa na bidii na bila kukata tamaaAnayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
ndo ungemshauri atengeneze urafiki na Elon
eh hiyo pangu pakavu veeeep,, kwanza naomba connection nije huko ulipo😂
haya nitakaribia🤗 usije ukaniliza tu😂Karibu sana lakini, nlisahau kujibu part B
haya nitakaribia🤗 usije ukaniliza tu😂
haya nitakaribia🤗 usije ukaniliza tu😂
Sio mpk awe wa kwanza duniani. InawezekanaAwe basi Tajiri wa kwanza hapa Tz ili aniprove wrong
Ondoka Africa kwanza...Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Anza na kuuza karanga mkuuAnayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Unaowaomba ushauri nao wanautaka huo utajiriAnayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Hakuna hata tajiri mmoja kati ya matajiri wakubwa duniani ukianzia na akina Elon Musk, Jeff Bezos, Larry Ellison, hadi akina Dangote na Dewji aliyepanga kuwa tajiri mkubwa duniani. Kwa hiyo tayari ulishakosea.Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Mafanikio sio jitihada, mafanikio ni siri na kuishi ndani ya siri za kutisha.Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Pesa ni zawadi anayopata mtu baada ya kutatua matatizo ya watu. Kwa tafsiri hiyo kama hutatui changamoto za watu basi na pesa inakuwa ngumu kuipata.Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia