Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu alikuwa anahitaji mtu wa fani yako kazini kwao. Yupo na shirika fulani la waswedeni mkuu siwezi kukuunganisha kweli.Mimi ni kijana Mtanzania nimekubali kwa thati ya moyo wangu kuingia jeshini ila sijui utaratibu wakuweza kuingia huko mwenye connection au atakae weza kunipa msaada wakunifanikisha kujiunga na jeshi Mimi niko tayari kuingia huko naombeni msaada wenu wakuu.
Elimu yangu nimeishia level ya Certificate in clinical medicine yani clinical assistant (afisa tabibu msaidizi)
No: 0621473450
Mpaka hapa na kwa haya Maelezo yako huna Sifa za Kujiunga na Jeshi kwani hutaki Kujiunga kwa kufuata taratibu na badala yake unataka Kuingia huko kwa 'Connection' na hata kuwa tayari 'Kuhonga' kwa watakaokusaidia.Mimi ni kijana Mtanzania nimekubali kwa thati ya moyo wangu kuingia jeshini ila sijui utaratibu wakuweza kuingia huko mwenye connection au atakae weza kunipa msaada wakunifanikisha kujiunga na jeshi Mimi niko tayari kuingia huko naombeni msaada wenu wakuu.
Elimu yangu nimeishia level ya Certificate in clinical medicine yani clinical assistant (afisa tabibu msaidizi)
No: 0621473450
Simanishi connection ya kuungwa jeshi namanisha mtu anielekeze taratibu zipi za kufata ni fike huko siendi kwa sababu ya maslahi naenda kwa sababu napenda ila kutokana na changamoto ya maisha nikwa nimetoka kwenye mstari wa leongo langu hilo nikaacha kufatilia mambo ya jeshi sasa ndoto yangu hiyo imenirudia ndio maana nimekuja kuwaomba wadua wanipe Maelezo ya namna gani kufika huko ,,tatizo mkuu connection we unaweza nimtu kukuunga huko bira taraatibu ila pia nashukulu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi hapo mashamba mpaka kukodi ardhi hakunaMpaka hapa na kwa haya Maelezo yako huna Sifa za Kujiunga na Jeshi kwani hutaki Kujiunga kwa kufuata taratibu na badala yake unataka Kuingia huko kwa 'Connection' na hata kuwa tayari 'Kuhonga' kwa watakaokusaidia.
Ushauri wangu Kwako kama Kijijini Kwenu kuna Mashamba tafadhali rudi huko ukaanze Kulima ambapo naamini utapata Kipato kizuri tu na Maisha yako yataenda vyema kikubwa ni Kujipanga na Kujiamini.
Nashukuru mkuu, ila samahan hua wanatangaza kupitia website zao? Au kupitia vyombo vya habari.ikumbukwe kuwa jeshi ni la wananchi....na jukumu la kuilinda nchi yetu ni la kwetu wote ama ni la kila mwananchi, hivyo mimi na wewe ni walinzi wa usalama wa kwanza wa taifa letu...linapokuja swala la kuitumikia sasa nchi kwenye sekta hizo kna vigezo ambavyo hwa vinabadilika kulingana na
Umechelewa kusema, juz juz nilienda kwa mkuu wa wilaya vijana walikuwa wanafanya mipango, nenda kwenye ofisi za mkuu wa wilaya kaulize michakato hata kwa kipind kingine.Ok thanks naanzaje au nafata utaratibu upi mkuu
Asante mkuu nashukuru sanaKwanza mtangulize Mungu ,fanya maombi sana utafanikiwa...kiukweli mimi Mungu kanitendea maajabu nimefanikiwa mahali ambapo nilikuwa nimekata tamaa kabisa...(I am living the witness)
Pia uwe unasema mwenye taarifa za kunisaidia kujiunga anipe usitumie neno connection inakuwa kama unapitia njia za panya...
Nakutakia kila la heri uwe unatembelea kwa Mkuu wa wilaya afu ulizia utaratibu ...wambie na fani yako yaani utapata tu ,tena kwa watu wenye professions kama walimu,tabibu,accountants n.k huwa hawahitaji wawe wamepitia JKT , hiyo fani ni dili
La mwisho usipende kuweka mawasiliano yako public isipokuwa mpaka umepata mtu anayeelekea ndipo umtumie DM mawasiliano,kuna watu wengine wanaweza kutumia mawasiliano yako kukurubuni