Ephraim Fredrick
Member
- Jun 28, 2021
- 5
- 1
Mimi ni mwanafunzi wa Degree mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Ushirika Moshi. Ni mnufaika wa mkopo kutoka Board ya mikopo lakini nalipiwa laki 4 tyuu kwenye ada ya masomo ambayo jumla ni Milioni 1 laki 1 Sina support kutoka uoande mwingine wowote Je nifanyeje niweze kukidhi mahitaji ya ada inayobaki kujilipia na niweze kufanya saving kwaajili ya baadaeeee........[emoji122][emoji122][emoji120][emoji120]