Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Kabla ya kukujibu..... wewe ulikopa kwa ajili ya shughuri gani..???Wana jamvi hoja yangu inafanana na Pearl lakini tofauti yangu ni kuwa mm nimepata mkopo wa 7m with interest ya 18 % kwa miezi 12 na natikiwa kuwa nimerudisha hicho kiasi plus interest.
@Babalao popote ulipo nitakupigia na pia nahitaji kupata nakala ya kitabu chako
HIVI ULIMAANISHA NGALIKIHINJA AU MASIKINI_JEURI....???? Maana mimi SIJAKOPA............ HEBU EDIT MAELEZO YAKOPole sana NGALIKIHINJA, nakupa pole kwa sababu umekulupukia kitu usichokijua,WANZUNGU WANASEMA 'think before you rip' maisha ni mipango, unatakiwa kupanga kwanza kabla ujapata. swari wewe ulikopa ili ufanyie nini? tusikulaumu sana bado ujapotea, je hizo pesa unazo au umekwisha mega? kama zipo zote peleka bank kwanza halafu tafuta biashara unayoiweza fanyabiashara, biashara zipo nyingi: mfano
-Unaweza kufungua duka
vyakura,jumla na reja reja
_ unaweza kufunua buther
- Mashine za kusaga and so on . KUWAMJASILIAMALI
doo naona jamaa ana njaa kweli mpaka anasahau aliyeomba msaada.HIVI ULIMAANISHA NGALIKIHINJA AU MASIKINI_JEURI....???? Maana mimi SIJAKOPA............ HEBU EDIT MAELEZO YAKO
Kabla ya kukujibu..... wewe ulikopa kwa ajili ya shughuri gani..???
kadi ya garihuo mkopo mbona ni kimeo sana, sasa dhamana uliweka nini?,
maana kurudisha more than 500000Tsh a month is not a joke
Nakushauri uendeleee na stationary hapo chuo maana kuanzisha shughuri nyingine ndani ya timeframe ya 1 year........... UTALOST...........kwanza steshenare chuo inalipa......nakumbuka miaka ya mwishoni mwa 1999 pale karibu na hall five kuna mdada alikuwa anajifungia kupima fotokopi madesa hadi saa tisa usiku......... hiyo itakulipa.Nilikuwa nimepata nafasi ya stationery eneo la chuo ambalo mpaka sasa naendelea kufuatilia na hapo kabla nilikuwa na endesha stationery kwenye jengo amabalo mwenye amelibomoa. Na maombi ya mkopo niliyafanya wakati niko bado kwenye biashara na umekuja kukubaliwa hivi punde
Hakuna kitu kibaya na cha hatari kama kuchukua mkopo bila kuwa na plan nao! Thats just waffling!....
We ni mfanyakazi au mfanyabiashara?
Nakushauri uendeleee na stationary hapo chuo maana kuanzisha shughuri nyingine ndani ya timeframe ya 1 year........... UTALOST...........kwanza steshenare chuo inalipa......nakumbuka miaka ya mwishoni mwa 1999 pale karibu na hall five kuna mdada alikuwa anajifungia kupima fotokopi madesa hadi saa tisa usiku......... hiyo itakulipa.
7m mkopo...ni hela kiduchu huwezi kufanya la maana hasa kama ndio unaanza moja...na kwa sababu hauna plan yeyote...warudishie tu hela yao kabla ya interest haijafanya mambo yake...