Wakuu nahitaji ushauri na pia maoni kuhusu hili,
Naitwa Eliud Novat naishi Dar es Salaam. Nina ujuzi wa kutengeneza logo na napenda sana digital designing lakini tangu nijue nina huo utaalamu sijawahi kufaidika chochote na kipaji hicho.
Je, nawezaje kukitumia kipaji hiki iwe fursa ya mafanikio yangu? Naamini kuna watu kama mimi wameelewa namaanisha nini.
Nina ujuzi wa photos editing, logo designing, videos editing na mambo yanayohusiana na hayo na mara nyingi huwa natumia vifaa dhaifu sana kufanya kazi hizo.
Mfano wa kazi zangu chini:
Kuna kazi nyingi sana huwa nafanya.
Please wakuu nahitaji msaada wenu sana kujua ni nini nifanye niweze kutumia kazi hii kama fursa ya kujipatia kipato na kama na nifuate taratibu zipi na gharama kiasi gani?