Nifanye nini kuokoa biashara yangu?

Nifanye nini kuokoa biashara yangu?

Trab-Trat

Member
Joined
Oct 2, 2022
Posts
20
Reaction score
29
Nipo kwa hard time sana my business is about to die loooh[emoji22]

Biashara ilikuwa poa tu ila kuna namna ilizidiwa na matumizi (kuna kipindi cha uhitaji mkubwa nilipitia) the same time ina mkopo nimerejeresha miezi saba kila mwezi narejesha 450k

Tatizo kubwa nimeishiwa bidhaa nyingi, hii kupelekea mauzo kushuka sana ila wateja wapo

#Pls advise nifanyeje kuikoa biashara yangu
 
Nenda huko unakofunga mzigo jikomiti lipia nusu nusu uwe unalioa polepole na riba kidogo
Now days makampuni yamekuwa magumu sana kukopesha mzigo,
Ni pesa kwa mzigo
Mali kauli wengi hawataki
 
It seems like, hauko vizuri kwenye ku balance matumizi yako (nidhamu ya fedha) and this is according to your story, Mungu akikusaidia ukasimama tena usirudie hili kosa!
 
Mkopo umebaki kiasi Gani? Kama umebaki kidogo jilipue uchukue mkopo mwingine nunua mzigo piga kazi huku ukirejesha mkopo wako and at the same time kuwa na tahadhari na vitu vilivyokurudisha nyuma.
 
It seems like, hauko vizuri kwny ku balance matumizi yako (nidhamu ya fedha) and this is according to your story, Mungu akikusaidia ukasimama tena usirudie hili kosa!
Najua ni wapi nilipokosea
Hilo nakiri kabisa
Asante, hakika nikipita hapa sintarudia makosa hayo
 
Mkopo umebaki kiasi Gani? Kama umebaki kidogo jilipue uchukue mkopo mwingine nunua mzigo piga kazi huku ukirejesha mkopo wako and at the same time kuwa na tahadhari na vitu vilivyokurudisha nyuma.
Umebaki kama million mbili na nusu
 
Rasimisha biashara kwa kuwa kampuni kisha attract investors kuwekeza mtaji katika biashara yako kwa kuuza shares. Hivi ndivyo biashara zinavyokuwa. Biashara ikiwa dormant kwenye level moja inapitia changamoto kama zilizopo katika biashara yako.
 
Back
Top Bottom