salehe hemedy
New Member
- Oct 9, 2017
- 3
- 4
Kajitibu wewe Na mpenzi wakoWadau,
Naomba msaada wenu. Nina UTI sugu, kila nikitibu baada ya miezi miwili inarudi tena.
Nitumie nini kuitibu hali hii?
a
Short and right!Kajitibu wewe Na mpenzi wako
Plus michepuko na nyumba ndogo zote!Kajitibu wewe Na mpenzi wako
Nilishawai kwenda na mpenzi angu nikatibiwa naeKajitibu wewe Na mpenzi wako