Hydrocephalus
Member
- Feb 6, 2012
- 27
- 5
Kwani unataka kumficha nini cha ajabu unachofanya humu jf? Wenzio tunajadili na posts zetu na wenza kabisa!
Nenda kwa mganga wa maruhani, atakupa dawa ambayo itamsahaulisha ID yako...............LOL
Habari!
Naomba mnishauri jamani,leo nimegundua kuwa mke wangu kaijua username ninayoitumia JF. Nifanye nini? Niendelee kuitumia au nibadilishe?