Nifanye nini? Mke wangu ameijua user name yangu ya JF!!

Kwani unatumia kutongozea??

Kama uko msafi haina noma tena ndo atajua my husband is gudoo...:A S-fire1:
 
labda huwa anaropoka mambo ya ajabu kuhusu mkewe hapo ndo kazi ipo:heh:
 
chamsing ww mpotezeee endelea ili asijue ww una mwogopa mkeo kwani atakusumbua akijua una mwogopa kiviile mwisho wa siku hata chakula cha usiku atakubania
 
usibadilishe, mbona una wasiwasi au una madudu humu nini?
 
Mbona alipojua password yako ya card ya benk hukuja huku ilhali uliificha kwa muda wa miaka miwili?
 
Sajaelewa mada hapa. Naona kama kuna vitu unaficha huku ukiomba ushauri. Kwanini unaogopa?
 
Badilisha user name na uwe unasign oua kabisa usijiweke majaribuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…