Nifanye nini mke wangu arudi?


Safari uliipanga na kukubaliana na mkeo au ulikubaliana na ndugu zako na ikatosha?
 
Hizo ni hasira za kutokwenda nae kwenye mwaliko.
Kingine mchunguze sana huenda kuna mwenzako anampa kichwa
 
Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.

Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tembea na chupa ya maji uwe unakunywa wakati ukiendelea kumsahau taratibu
 
Pole sana jitahidi kushirikisha wazazi wa pande zote mbili na viongozi wa Dini wakusaidie.
 
Na pia kwenda kuhudhuria harusi ni muda mafupi sana kwa mke kukuacha ghafla.
Lazima kuna kitu cha ziada unaficha!
 
Nenda kamroge kwa masheikh wa mjini, atarudi tu.
 
Hivi inakuaje mwanaume uweke roho yako yote kwa mwanamke? Hili ndo Tatizo la kuwa na mwanamke mmoja. Inatakiwa uwe na wanawake kama kumi unapiga kwa mzunguko..sasa wewe unaweka mayai yote kwenye tenga moja. Angalia mababu zetu walikuwa na wake hadi 7, ndo maana hukuwahi kusikia wamejinyonga kwasababu ya mwanamke
 
huyo atakuwa anasiki wivuuu na atakuwa kapata mtu wa kumfinyaaa tayariii, swali vipi bado ana ishi kwako au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…